• Bethlehem Worship Centre Church; Goba Mageti, Dar es salaam

Who We Are

BWC ni kanisa la Kipentekoste linaloendesha huduma za kiroho likijikita kwenye mambo matatu makubwa; Neno la Mungu, Maombi, Sifa na Kumwabudu Mungu kama njia bora ya kumwona Mungu na Kubarikiwa kiroho na Kimwili. Karibu Uabudu nasi na Tubarikiwe Pamoja.

Mchungaji A.N.M Anaamini kwamba, Mkristo akishafundishwa juu ya Imani ya Mungu wa kweli, ataweza kujitegemea na kumuuishi Mungu ambapo hatimaye ataishi na Mungu; Hivyo basi itasababiha Ibada zetu ziwe na nguvu za Mungu kufanya mabadiriko chanya ya kimaendeleo; Hapa ndipo ndipo tutaweza kufanikiwa kuhubiri Injili duniani yenye mafanikio. "Marko 16:15-16 Akawaambia, Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe. Aaminiye na kubatizwa ataokoka; asiyeamini, atahukumiwa".

Huduma ya BWC hutekeleza maono makubwa ya TCRC ambapo huamini katika kuhubiri neno la Mungu la kweli kutapelekea kuwa na waumini wenye kumjua Mungu kikamilifu na hawa ndio wataweza kumtumikia Mungu katika kicho chake yaani watamwabudu katika roho na kweli, wataishi maisha matakatifu, Watakuwa ni mabalozi wazuri wa kuhubiri Injili ya kweli na mwisho ni kuwa na kanisa lenye Nguvu za Mungu katika kuwabariki waumini wake baraka za mwilini na za rohoni, "Ayubu 22:21 Mjue sana Mungu, ili uwe na amani; Ndivyo mema yatakavyokujia".

Love and Unity

Evangelism

Happiness

Ministry

Training

Performance

Relationship

0

Total Services

0

Total Departments

0

Total Projects

0

Branches Network

Quality Service

Professional Team

team-img

Mr Arthur Mulungu

Founder and Pastor

Proffessional: Teacher

team-img

Mr Joseph Henry

Proffessional: Musician

Assistant Pastor

team-img

Ms Exaveria Mulungu

Mrs Pastor Mulungu

Professional: Teacher

team-img

Eng John Ndindwa

Assistant Pastor

Professional: Engineer