• Bethlehem Worship Centre Church; Goba Mageti, Dar es salaam

We understand your Spiritual needs

Home

Utangulizi

BWC ni kanisa la Kipentekoste linaloendesha huduma za kiroho likijikita kwenye mambo matatu makubwa; Neno la Mungu, Maombi, Sifa na Kumwabudu Mungu kama njia bora ya kumwona Mungu na Kubarikiwa kiroho na Kimwili. Karibu Uabudu nasi na Tubarikiwe Pamoja.

team-img

We've Repution for Excellence

We Build Partnerships

Guided by Commitment

A Team of Professionals

Our Values

Huduma ya BWC ni wazo la Serikali ya Mbinguni, Lililowekwa kwa Mtumishi wa Mungu ARTHUR NOELI MULUNGU litekelezwe yaani kuanzisha Kituo cha Mungu duniani kwa ajili ya kukutana na watu wote katika nyanja za Kiroho na Kimwili. Mpaka sasa watu wengi wamekutana na Mungu kwa Baraka tele; Uponyaji, Miujiza, Mafanikio, Vipawa na Karama na Matokeo yake chanya ni Ukuaji na ustawi wa Kanisa kwa kasi sana.

Kufanya Utume Kwa Kuhubiri Injili Ya Kweli Ya Yesu Kristo Ili Watu Wampokee Yesu Kuwa Bwana Na Mwokozi Wao Na Hivyo Waingie Katika Familia Takatifu Na Mwisho Wawe Raia Katika Ufalame Wa Mungu. "Marko 16:15-16 Akawaambia, Enendeni Ulimwenguni Mwote, Mkaihubiri Injili Kwa Kila Kiumbe. Aaminiye Na Kubatizwa Ataokoka; Asiyeamini, Atahukumiwa."

Kufundisha Neno La Mungu La Kweli, Kufanya Ibada Zenye Uwepo Wa Roho Mtakatifu Ili Kujenga Kanisa La Mungu Na Lenye Kuathiri Jamii Nzima Katika Maendeleo Ya Kiroho Na Kimwili. Warumi 12:7 Ikiwa Huduma, Tuwemo Katika Huduma Yetu; Mwenye Kufundisha, Katika Kufundisha Kwake.

Kuhakikisha Kanisa Linaamini Katika Vipawa Na Karama Za Roho Mtakatifu Kwa Kujazwa Nguvu Ili Kuwaandaa Kuubeba Na Kuuishi Upendo Wa Mungu Kwa Jamii,kuandaa Viongozi, Watumishi Na Watenda Kazi Wanaotumika Kwa Kulitimiza Kusudi La Mungu Kikamilifu Walilopewa Na Mungu Katika Hali Ya Ukuaji Na Ukomavu Ili Kuathiri Jamii Na Taifa Katika Maendeleo. "Wafilipi 2:13 Kwa Maana Ndiye Mungu Atendaye Kazi Ndani Yenu, Kutaka Kwenu Na Kutenda Kwenu, Kwa Kulitimiza Kusudi Lake Jema."

Msingi na Mwito mkuu ambao Bwana alimpatia Mtumwa wake ni Kufundisha NENO la Mungu la Kweli ambalo ndio msingi wa mafanikio. Hata hivyo kumjua Mungu huja kwa neno lake na ndio Maana ukisha mjua Mungu utajifunza Kumwabudu na Kumtumikia Mungu. BWC Tunaamini katika Neno la Mungu, Kusifu na Kumwabudu Mungu pamoja na Maombi. Zaburi 111:10 Kumcha Bwana ndio mwanzo wa hekima, Wote wafanyao hayo wana akili njema, Sifa zake zakaa milele."

0

Total Services

0

Total Departments

0

Total Projects

0

Branches Network

We Have Annointed In

What We Do

service-icon

Neno la Kweli

Neno la Mungu ndio Msingi wa Imani Yetu na Kukua katika Imani

service-icon

Kumcha Mungu

Utambuzi mkubwa juu ya uwepo wa Mungu ndio Kumcha Bwana

service-icon

Kumtumikia Mungu

Tumeitiwa Utumishi kuujenga mwili wa Kristo

service-icon

Namna ya Kubarikiwa

Kumtii Mungu ndio chanzo cha Baraka kwa Waamini

service-avater-image
service-icon

Kuhubiri Injili

Huu ndio mwito wa kufanya kwa Dunia yaani wokovu kwa wote

service-icon

Maombi na Maombezi

Hakuna lisilowezekana kwa Mungu kwa Kusali na Kuomba

service-icon

Kuigusa Jamii

Tunamgusa Mungu kwa kuigusa Jamii kwa kusaidia

service-icon

Kurudi kwa Yesu

Kanisa tunaamini ujio wa Yesu mara ya Pili kutwaa Kanisa

Work of Excellence

Our Core Services

project-img

Ministers of God

Ministering

project-img

Touching God

Praising and Worship

Testimonials

Huduma ya Tcrc ni Huduma ambayo kimsingi imekuwa ya baraka sana kwa sababu inatusaidia kumjua Mungu na kujitegemea katika kuishi maisha ya Imani.
Tangu nimehudhuria huduma hii ndipo nilipotambua maana ya neno kweli itakuweka huru, Sasa niko huru kimtazamo na Mafanikio.
Katika Makuzi yangu ya Imani nilikuwa naomba kwa Ugumu sana lakini sasa naweza kusema bwana ni Mwema kwa ajili ya huduma hii maana naomba kwa muda mrefu.
Hakika nimekubali ya kwanza ukiokoka utapata faida kubwa, Nilikuwa nashindwa kuacha dhambi lakini kwa neema ya Mungu ameniwezesha na sasa Namtumikia Mungu.
Ukiamini kwa dhati na kumshika Mungu, Utabadirika; Binafsi nimemwona Mungu tangu kuokoka kwa sababu amenibadirisha na kuwa mtu mpya.

Our Event Gallery