• Bethlehem Worship Centre Church; Goba Mageti, Dar es salaam

What People Said

Huduma ya Tcrc ni Huduma ambayo kimsingi imekuwa ya baraka sana kwa sababu inatusaidia kumjua Mungu na kujitegemea katika kuishi maisha ya Imani.
Hakika nimekubali ya kwanza ukiokoka utapata faida kubwa, Nilikuwa nashindwa kuacha dhambi lakini kwa neema yake, sasa Namtumikia Mungu.
Ukiamini kwa dhati na kumshika Mungu, Utabadirika; Binafsi nimemwona Mungu tangu kuokoka kwa sababu amenibadirisha na kuwa mtu mpya.