Testimonials
Huduma ya Tcrc ni Huduma ambayo kimsingi imekuwa ya baraka sana kwa sababu inatusaidia kumjua Mungu na
kujitegemea katika kuishi maisha ya Imani.

Mr Frank
Music Technician
Tangu nimehudhuria huduma hii ndipo nilipotambua maana ya neno
kweli itakuweka huru, Sasa niko huru kimtazamo na Mafanikio.

Eng John J.
Web Administrator
Katika Makuzi yangu ya Imani nilikuwa naomba kwa Ugumu sana lakini sasa naweza kusema
bwana ni Mwema kwa ajili ya huduma hii maana naomba kwa muda mrefu.

Mr Myaris
Church Elder
Hakika nimekubali ya kwanza ukiokoka utapata faida kubwa, Nilikuwa nashindwa kuacha dhambi
lakini kwa neema ya Mungu ameniwezesha na sasa Namtumikia Mungu.

Mr Philbert
Church Elder
Ukiamini kwa dhati na kumshika Mungu, Utabadirika; Binafsi nimemwona Mungu tangu kuokoka
kwa sababu amenibadirisha na kuwa mtu mpya.
