Opportunities Library

Karibu uchangamkie Fursa
Nafasi za Ajira - Tanzania
Fursa za biashara
Fursa za Kusoma
Mafunzo ya Maisha
Elimu ya Kujitegemea
Workshop za Vijana
Mbinu za Kusoma na Kufaulu
Fahamu Elimu ya Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Fursa Zake
Mchungaji A.N.M Anaamini kwamba, Mkristo lazima afanye kazi kwa bidii ndipo afanikwe katika maisha yake. Anasema inapaswa mtu kuwa hodari katika Bwana na katika uwezo wa Nguvu zake. Mtu hodari ana sifa zifuatazo; Hudiriki kufanya mambo ambayo wengine huogopa kuyafanya (Risk taker, Ni jasiri kufanya mambo/maamuzi magumu yanayopingana na mazingira yanayo mzunguuka (Esta 5:1-5) Hatishwi na adui bali humkabiri, Haendeshwi na mazingira bali husimamia malengo yake na focus yake. na Hakatishwi tamaa na maneno ya watu (1 sam 17:41-45)
Bethlehem Worship Centre